Staa wa Filamu Nchini Jack Wolper Ajifungua Mtoto


Staa wa filamu nchini Jack Wolper amefanikiwa kujifungua mtoto wake wa pili ambaye ni wa kike. Amethibitisha. Huyu anakuwa ni mtoto wapili kwa Jack Wolper na Rich Mitindo ambaye ni mchumba wake.

Itakumbukwa, mapema mwanzoni mwa mwezi huu wa Agosti, Wolper na Mitindo walitangaza rasmi kwamba walikuwa wanatarajia mtoto wa pili katika familia yao.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad