Tuwaheshimu Makarani wa Sensa na Kuacha Kupiga Picha Zisizo na Staa


Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka ameomba Wananchi wanaofikiwa na Makarani wa Sensa kuwa na heshima na Makarani na kuacha kupiga picha zisizo kuwa na staha kwakuwa nao ni Binadamu na wanabeba heshima za Familia zao.


Mtaka ametoa wito huo katika Kijiji cha Ilunda wakati akikagua maendeleo ya zoezi la Sensa na ksema imeibuka tabia ya Watu kupiga picha zisizo na staha na Makarani wakati mwingine bila ridhaa na kuziweka katika mitandao ya kijamii hali ambayo imekuwa ikileta shida kwa baadhi ya Familia.


“Kama kuna upigaji wa picha kuwe na ridhaa pia na Karani kwasababu wana Familia zao, Makarani ni Wenza wa Watu, Wachumba wa Watu na wana Familia”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad