Ukijaribu ku “Shazam” wimbo wa TETEMA, unakuja kama ni wimbo wa Diamond na sio Rayvanny


Ukijaribu ku “Shazam” wimbo wa TETEMA, unakuja kama ni wimbo wa Diamond na sio Rayvanny (yeye ni featuring tu). Kweli jamani?!

Sasa kwa minajili hii, unadhani Rayvanny na S2Kizzy watapata haki zao za publishing?

SI SAWA Laizer na S2kizzy muwape wanachostahili. #AchaPachimbike 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad