Video ya Wimbo wa Tetema ya Msanii Rayvanny Aliyomshirikisha Diamond imeondolewa Youtube


Video ya Wimbo wa Tetema ya msanii Rayvanny aliyomshirikisha Diamond imeondolewa youtube kwa madai ya Hakimiliki kutoka kwa mtu mwingine.


Ukiutafuta sasa hivi katika mtandao wa youtube unapata ujumbe usemao, video hiyo haipatikani kwasasa kufuatia malalamiko ya Hakimiliki yaliyotolewa na Salimini Kassimu.


Video ya wimbo Tetema ambayo ilipandishwa katika mtandao youtube ndani ya channel ya Rayvanny, Februari 6, mwaka 2019, ndio video pekee ya msanii Rayvanny iliyokuwa imetazamwa zaidi.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad