Wachezaji 12 wakigeni ruksa kutumika kwenye mchezo mmoja -TFF



Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kupitia kikao chake cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kilichokaa Jijini Arusha kimepitisha maboresho ya Kanuni kuelekea Msimu wa Agosti 9, 2022/23.


Kamati imepitisha kanuni mpya inayoruhusu Klabu kusajili wasiozidi 12 wakigeni na kuwatumia hadi wachezaji wote 12 katika mchezo mmoja.


Hapo awali kanuni ilikuwa inaruhusu kutumia wachezaji wakigeni wasiozidi nane (8) kwenye mchezo mmoja katika wachezaji 12 watakaosajiliwa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad