Wakazi ailipua Wasafi kuhusu Rayvanny "Tuache Kujificha Nyuma ya Mkataba na Kuumiza Watu Rayvanny Kashawapa Hela Nyingi Sana"

 


Wakazi ailipua Wasafi kuhusu Rayvanny


"Inflated bills, outrageous exit clauses, unrealistic penalties… Je kweli hii ndio kuijenga SANAA na TASNIA?!


Tuache kujificha nyuma ya Mkataba na kuishia kuumiza watu. Rayvanny amewaungizia hela nyingi tu, na kiuhalisia kuna hela zake ambazo hamjamlipa. Basically ametimiza his contractual obligations.


If he wishes to grow elsewhere nadhani mngempa heshima anayostaili na kuruhusu aondoke bila hizo tunazozisikia. Wasafi ni ya msanii, hivyo hata kama ni Biashara, basi inapaswa kuwa biashara ambayo ni “PRO ARTIST” (inathamini na kuzingatia maslahi ya Msanii) na sio a Heartless Machinery inayojiangalia yenyewe tu.


Infact hta hizo Major label za nje ambazo sio za Wasanii huwa zinafanya CONTRACT RE-ADJUSTMENT pindi msanii anapopata mafanikio beyond expectations 50 Cent ni prime example). Rayvanny amewaheshimisha sana Wasafi nchini na duniani, kwa nyie kugeuka na kumfanyia hivyo. SIO SAWA!!


Chawa mje na Ushabiki na U-Team wenu, ila Facts ni Facts… Na sijawahi kusita kuongea pale ambapo naona msanii anaonewa. Infact, niliandika Makala siku Harmonize amefanya ile interview, ila nikakosa Wasaa wakuitoa, maybe it is time now.

THE LEADER"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad