Wakazi wa Nyumba za Kupanga Kulipa 10% ya Kodi TRA



Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka Wapangaji kuwa Wazalendo na kulipia 10% ya kodi wanazowalipa wenye Nyumba ili kulipia kodi ya pango

Afisa wa TRA, Eugenia Mkumbo amesema Mpangaji ana jukumu la kukata 10% na kuilipa TRA, na mwenye nyumba atampelekea Fedha ya pango iliyobaki na nakala inayoonesha amelipia kodi

Aidha, mnamo Agosti 20, 2021 Wananchi walianza ulipaji wa Kodi ya Majengo kupitia manunuzi ya mfumo wa LUKU ambapo Mwananchi mwenye nyumba ya kawaida analipa Tsh. 12,000 kwa Mwaka

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad