Wanandoa Waliopoteza Watoto Watatu Kwenye Ajali Wapata Mapacha Watatu Kwa Mpigo


Mwanamama Lori pamoja na mumewe Chris Coble walipata pigo zito kwa kuwapoteza watoto wao wote watatu kwenye ajali ya gari, walikuwa wasichana wawili na mvulana mmoja. Miezi sita baada ya ajali, Lori alianza kujisikia mjamzito. Baadaye alijifungua mapacha watatu (Triplets), wawili wa Kike na mmoja wa Kiume.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad