Ni vita ya maneno kati ya Dogo Janja na Young D ambapo Young Dee amedai, Janjaro ameshindwa muziki na kwa umri wake sio wa kupost na kuringishia viatu na nguo.
Kwenye Refresh ya Wasafi Tv, Dee amekazia kuwa siku zote wanawake wanajua Marioo anataka nini, hivyo mpenzi wake Janjaro amejua Jamaa anapenda viatu,nguo mpya na kusafiri na ndicho anacho kifanya hadi Dogo Janja kasahau kitu kinaitwa muziki.😁