Za Ndani Kabisa...Manchester United wanafikiria kuvunja mkataba na Cristiano Ronaldo


Taarifa za Ndani Kabisa kwa mujibu wa SKYSPORTS ni kuwa Manchester United wanafikiria kuvunja mkataba na Cristiano Ronaldo kama hatobadili tabia yake ya ndani uwanja akionekana kama hayupo tayari kupigania jezi yao.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad