Baada ya kusambaa kwa picha na video zikionesha nyumba iliyopitishwa ukuta chini ya geti sasa Ayo TV na Millardayo.com zimefika eneo la tukio ambapo muhusika Ahmed Hafidh aliyeuza kiwanja hicho kasimulia yale tusiyoyafahamu na pia ndio anayehusika katika usimamizi wa ujenzi huo
VIDEO: