Breaking: Simba SC imevunja mkataba na kocha Zoran Maki


Simba SC imevunja mkataba na kocha Zoran Maki, Kocha wa viungo Sbai Karim na Kocha wa makipa Mohammed Rachid kwa makubaliano ya pande zote.

Kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya KMC kikosi kitakua chini ya Selemani Matola huku mchakato wa haraka wa kutafuta kocha mpya ukiendelea. h
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad