Calm Down Remix ya REMA Feat Selena Gomez Views Milioni Tatu Ndani ya Masaa 22 tu


Kolabo kati ya Selena Gomez na Rema ni moja ya kolabo ambayo wengi hawakuitarajia, hata audio ilipotoka kuna mijadala ilikuwa ikiendelea Twitter na Wanigeria kuwa “AFROBEATS IS NOT FOR EVERYONE” yani Muziki wa Afrobeats sio wa kila mtu, hasa wakiweka picha za Wasanii wa kigeni kwenye muziki huu, huku wakiwasifu Ed Sheeran na Chris Brown kwa kuuweza.


Lakini matamanio ya wengi ni kuona video ya Calm Diwn remix itakuwaje. Kiufupi chupa kali halina vurugu vurugu na linakupa raha ya kulitazama, ikiwa lina masaa 22 pekee pale YouTube, limeondoka na zaidi ya watazamaji 3M.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad