DJ Joozey "Mimi, Dada na Mama Yangu Tulikuwa Tunaishi Chumba Kimoja, Tulikuwa Tunalala na Walevi"


“Kwetu tupo watoto wanne watoto wawili ambao wakubwa zangu wao walibaki kwa Baba yao ila mimi na dada yangu tuliishi na mama ambapo tulikuwa tukikaa chumba kimoja na kwenye hicho chumba kilikuwa kilabu cha pombe.

Mama alikuwa akiuza pombe ndani ya chumba alichopanga na unakuta usiku wateja wa pombe wamekuja wanakunywa na sisi tupo ndani wadogo hivyo kama unavyojua walevi wengine wanazima hapo hapo asubuhi ikifika unaamka unajiandaa na kwenda shule.


Hatukuwa na hela ya kununua hata kitanda hivyo nikatengeneza kitanda cha mbao na ndiyo tukawa tunalala kwenye kitanda hicho kwani maisha yalikuwa magumu sana"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad