Frida Amani, Rosa Ree Uso Kwa Uso Kwenye AFRIMA 2022, Wengine ni Zuchu, Nandy Msanii Bora wa Kike Afrika Mashariki




Waandaaji wa Tuzo za AFRIMA wametoa list ya nominees kwa mwaka huu 2022, huku Tanzania ikiwakilishwa na Wasanii 8. Diamond akiwa msanii pekee tokea zone hii ya Afrika mashariki aliyetajwa mara nyingi zaidi (3) Album of the Year (FOA), Artiste of the year na Best Male Artiste in Eastern Africa. Wengine ni Rayvanny , Marioo pamoja na Mbosso kwenye kipengele cha msanii bora wa kiume tokea Afrika Mashariki.


Kinacho furahisha ni kuona idadi ya wasanii wa kike nchini imeendelea kuwa kubwa kwenye tuzo kubwa nje ya nchi ,ikilinganishwa na miaka kadhaa nyuma. Kwenye Kipengele cha Best Female Artiste in Eastern Africa, Mchuano ukiwa na Watanzania 4, (Rosa Ree, Nandy,Frida Amani na Zuchu) wakenya 3 (Nikita Kering, Muthaka na Tanasha Donna), Uganda 1 (Spice Dianna) na Ethiopia 2 (Betty G na Hewan Gebrewold)

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad