Fully Sykes "Mimi na Diamond Platnumz Niwaoga Sana Wakufeli"



Ameshare Kuwa Yeye Ni Muoga Sana Wakufeli Katika Maisha Yake Na Ni Jambo Ambalo Limemsaidia Sana Hadi Kufika Hapo Alipo Na Kuongezea Kuwa Ni Jambo Pia Ambalo Msanii Diamond Platnumz Amelitoa Kwake Ndio Maana Naye Yupo Pale, DULLY Ameeleza Hayo Akitolea Mfano Wa Wasanii Wengine Ambao Amekuwa Nao Kwenye Game Muda Mrefu Na Walipata Pesa Nyingi Kuliko Yeye Lakini Kwa Namna Moja Ama Nyingine Hawana Nafasi Ambayo Anayo Yeye Kwasasa Kwenye Maisha Ya Muziki Pamoja Na Kawaida.

Kupitia #TheSwitch Ya Wasafi FM #DULLY Ameeleza............"Kuna Wasanii Walipata Hela Kunishinda Mimi Na Nilitamani Kuwa Kama Wao Kipindi Hicho Kupata Zile Hela Ujue Mimi Sijawahi Kupata Mahela Kibao Kwa Wakati Mmoja Lakini Zile Pesa Ndogo Ambazo Mimi Nilizopata Niliweza Kwenda Nayo Na Majukumu Yangu, Mimi Ni Muoga Sana Wakufeli Nafikiri Hata #DIAMOND Alifuata Hizi Njia Zangu Pia Na Yeye Ni Muoga Sana Wakufeli''

"Kuna Watu Walikua Wanatuambia Sana Tungeweza Kuwasikiliza Nafkiri Sasa Hivi Tungekua Mbali, Mimi Sasa Hivi Nawaombea Vizuri Kwa Mwenyezi Mungu Warudi Tena Wafanye Ngoma Zirudi Tena Warudi Kwenye Nafasi Tena Ili Wajipange Tena Pale Ambapo Wanajua Walikosea Ili Wasikosee Tena Hivyo Nawaombea Sana Kwa Mwenyezi Mungu Kwasababu Sifurahii Kuona Wenzangu Wamepotea Sasa Hivi Wapo Katika Maisha Flani Na Wanahitaji Msaada Mimi Natamani Mungu Afanye Maajabu Yake Warudi Kwenye Nafasi Zao Wafanye Maisha Yani Ntafurahia Sana"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad