Habari Kuhusu Kifo Cha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga na Dereva Wake


Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Innocent Bashungwa amethibitisha taarifa za kifo cha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga aitwae Fatuma Omari Latu pamoja na Dereva wake aitwae Alex, vilivyotokea kwa ajali ya gari jana mchana wakitokea mkoani Mbeya kwenye Mkutano wa ALAT na kwamba hakuna Mkuu wa Wilaya aliyefariki kwenye ajali hiyo kama ilivyoripotiwa hapo awali.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad