Haji Manara Aishukia TFF " Kapateje Cheti Wakati Wengine Hawajapewa"


Ameandika Haji Manara:

Kuna mengine mm najiandikia tu kufurahisha Baraza,,,Sasa kila kitu mtakuwa mnajibu tu.

Matokeo yake hadi Marehemu Silvester Marsh mmemuoredhesha kwa haraka ya kujibu.

Maisha ya Instagram ni kuchetuana akili tu,,nakumbuka msimu uliopita ilitokea Issue very controversial Mitandaoni kuhusu Yanga,,Hersi akaniambia itabidi tutolee ufafanuzi,,nikamwambia tutalikuza bila sababu,dawa ni kulipotezea litajifia lenyewe.

Sasa hao Makocha walioambiwa wana hzo leseni wengine wanasema hawajapewa Vyeti vyao,, JM kapataje? Au ndio yale yale?

Taasisi haipaswi kujibu kila mjadala wa mitandaoni,,chukueni elimu hiyo ,,mkijibu mtatupa nafasi ya kuhoji mengine.

Swali, kakipataje wakati wengine hawajapewa? Sawa kasoma Cheti kapewa lini na kwa nini yeye apewe Usiku Usiku?
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad