Harmonize Atoboa SIRI "Nilivyoachana na Sarah Nilikuwa Sina pa Kulala , Kajala Alinisitiri Kwake"


Baada ya mapema leo hi aliyekua mpenzi wa mwanamuziki Harmonize #Sarah kuonekana mahakamani asubuhi ya leo akifuatilia madai ya Talaka kati yake na Harmonize , hatimae nyoga huyo wa muziki ame-share sehemu ya chats zake na #Kajala akimuelezea #Kajala kuwa wakati alipoachana na #Sarah hakuwa na mali wala pa kulala kiasi cha kuaanza kulala kwa Kajala



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad