Hatimaye Paula Kajala Amkubali Harmonize Kama Baba Yake...Amwita Baba Kwenye Post Hii



Hatimae mtoto wa mpenzi wa mwanamuziki harmonize Kajala Masanja #PaulaKajala kwa mara ya kwanza amemtambua @harmonize_tz kama baba yake hadharani kupitia ukurasa wake wa instagram (insta story yake).

Itakumbukwa kuwa wawili hawa wamewahi kuwa katika tofauti kubwa kiasi cha Paula kutomtambua Harmonize kama baba yake wa kufikia.


Paula amemtaja Harmonize kama baba yake akishare kionjo cha wimbo mpya wa Harmonize

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad