Jaji Martha Hakukuwa na Ushahidi wa Mtu Kuingilia Seva za Uchaguzi Kenya


Jaji Martha anaendelea kumwagika huko aisee akisema, hakukuwa na ushahidi wa uwepo wa mtu aliyekua katika seva ya kati iliyounganishwa kwa mtandao wa VPN wa IEBC.

Kama Mahakama inaesema hakuna  ushahidi unaoonesha kwamba mfumo wa kuhesabu matokeo nchini humo uliingiliwa, naona mzee wangu Raila anakula mweleka hapa aisee
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad