Kampuni ya Air Tanzania (ATCL) imezindua ofa ya punguzo kwa wanafunzi wa Kitanzania


Kampuni ya Air Tanzania (ATCL) imezindua ofa ya punguzo kwa wanafunzi wa Kitanzania wanaorejea nchini China kwaajili ya masomo yao.

Akitoa taarifa hiyo, balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki amesema uamuzi wa ATCL umekuja kufuatia malalamiko mengi yaliyotolewa na wanafunzi waliodai kuwa hawawezi kumudu gharama za usafiri.

Mwanafunzi anayesafiri kwenda China sasa atalazimika kulipa dola 2,100 pekee (takriban TZS milioni 4.8 badala ya dola 3,800 (sawa na TZS milioni 8.8) hadi USD 6,500 (sawa na TZS milioni 15.2).  

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad