Kocha Mzawa Juma Mgunda Kuiongoza Simba Ligi ya Mabingwa Afrika



Klabu ya Soka ya Simba imemtangaza Juma Mgunda kuwa kocha wa muda wa klabu hiyo atakayesaidiana na Seleman Matola, kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Nyassa Big Bullet ya nchini Malawi. Anaripoti Mwandishi Wetu.

Mchezo huo wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa utapigwa tarehe 10 Septemba 2022, ambapo Mgunda atakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kitakachosafiri hapo baadae kuelekea nchini Malawi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad