Laana ya Baba Yaendelea Kumtafuna Raila Odinga, Mahakama Yampiga Chini Urais Kenya, William Ruto Aidhinishwa Rasmi



Hatua hiyo imekuja baada ya Majaji 7 wa Mahakama ya Juu kusikiliza Pingamizi lililowekwa na #RailaOdinga aliyekuwa Mgombea wa Azimio la Umoja, na kusema hakuna ushahidi halali uliowasilishwa kuhusu kutofautiana kwa fomu namba 34A

Kwa Uamuzi huo, Rais Mteule, #WilliamRuto na Naibu wake, Rigathi Gachagua wataapishwa rasmi kushika Madaraka Septemba 13, 2022 kwa Mujibu wa #Katiba ya #Kenya

William Ruto anakuwa Rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya akitokea katika nafasi ya Naibu Rais chini ya Serikali ya Uhuru Kenyatta anayemaliza muda wake.

#KenyaDecides2022 #Democracy #Accountability  
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad