Man United Yaichakaza Arsenal 3 - 1 Old Trafford , Antony na Marcus Rashford Mashujaa




Manchester United imepata ushindi wa nne mfululizo kwenye Ligi Kuu ya England baada ya kuichapa Arsenal goli 3-1 kwenye Uwanja wa Old Trafford

United imepata magoli yake kupitia Antony na Marcus Rashford aliyefunga mawili wakati Bukayo Saka akiifungia Arsenal goli la kufuta machozi

Matokeo hayo yanaifanya Arsenal kupoteza alama kwa mara ya kwanza msimu huu baada ya awali kushinda mechi tano mfululizo kwenye Ligi hiyo

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad