Mchezo huo uliyopigwa bila mashabiki wa soka Uwanjani kutokana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika CAF kutoruhusu umemalizika kwa matokeo hayo ya 1-0 Geita ikifungwa goli hilo dakika 45 za kipindi cha kwanza.
Geita Gold itapaswa kujiandaa vema kwaajili ya mchezo wake wa marudiano utakao pigwa katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi tarehe 17 ya mwezi huu.