Maskini Timu ya GEITA Gold Yaanza Vibaya Mashindano ya Kimataifa..Yapigwa Kimoko Ugenini



Klabu ya Geita Gold FC imekubali kipigo cha goli 1-0 dhidi ya timu ya Hilal Alsahil ya Suda kwenye mchezo wao wa kwanza wa Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Mchezo huo uliyopigwa bila mashabiki wa soka Uwanjani kutokana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika CAF kutoruhusu umemalizika kwa matokeo hayo ya 1-0 Geita ikifungwa goli hilo dakika 45 za kipindi cha kwanza.

Geita Gold itapaswa kujiandaa vema kwaajili ya mchezo wake wa marudiano utakao pigwa katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi tarehe 17 ya mwezi huu.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad