Mayele Amefunga Hat Trick Ndani ya Dakika 6


Mayele amefunga hat trick ndani ya dakika 6

Dakika ya 60
Dakika ya 63
Dakika ya 66

Bila shaka kwa Tanzania kwenye morden era ni rekodi. Kwa Afrika anayetambulila kwa hat trick ya muda mchache ni Abdul Hamid Bassiouny, Egypt vs. Namibia, 2001.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad