Moni Centrozone "Bila Milioni TANO Sipigi Show Yako Bora Nilale Geto tu"


MALUME Moni Centrozone Ameweka Wazi Bei Yake Kwasasa Ili Apande Kwa Stage Lazima Ikugharimu Kiasi Cha Milioni 5 Za Kitanzania Bila Hivyo Basi Hupati Huduma Yake.

Ameeleza Hayo Kupitia Kipindi Cha #PlanetBongo Ya EA Radio Ambapo Amesema.............."Tumevuka Kwenye Mambo Ya Milioni 1 Tena Milioni 1.5 Au Milioni 2 Umenielewa Kwasasa Tunabishana Sana Na Watu Lakini Kwasasa Tupo Kwenye Milioni 5 Ukibishana Tunabishana Bora Nikae Geto''

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad