Mkongwe wa mziki wa HipHop Mr II Sugu amepigia misumari kauli ya mapenzi yanaenda sawa na pesa kwa kushea ujumbe unaoeleza kuwa pesa haiwezi kununua mapenzi lakini ikiwepo inaleta raha.
"Ni kweli money can't buy love but mkwanja kiasi ukiwepo unaleta raha kwenye mapenzi. Dogo langu Fred Vunja bei atakubaliana na mimi" - Mr II Sugu
Ikumbukwe hata Barakah The Prince alishaimba kwamba mapenzi sio pesa ila pesa ikikosekana mapenzi yanapungua.