Msanii Marioo Apewe Nyota 5 Kwenye Mziki wa Bongo Flava.."Tunamchukulia Poa"

 


Msanii Marioo Apewe Nyota 5 Kwenye Mziki wa Bongo Flava.."Tunamchukulia Poa"

Uwenda tukawa tunatambua kuwa Marioo ni msanii mkubwa nchini, lakini isiwe kwa namna ambayo inatakiwa kuwa. Marioo amekuwa ni msanii anayepiga hatua kwenye kila project anayo toa, hajawahi pungua kwenye hilo.

Tumeshuhudia namna alivyo ilaunch Dear Ex Video pale kidimbwi, gharama ya tiketi zake na tiketi kuwa sold out, ni kipimo tosha kujua msanii huyu ana ukubwa wa kutosha nchini, lakini tukirudi kwenye video yenyewe, creativity ya kutosha, unayaona matamanio ya Marioo kwenye game hii ya Bongo Flava.

Mario hapaswi kuwa kwenye List tu ya wasanii wanaofanya vizuri nchini kwa hivi sasa, bali kwenye List ya wasanii wakubwa kabisa kwenye game, bila kujali muda aliokaa kwenye industry.

Dear Ex Video is out na ni bonge la msiba. Link kwa bio ya Marioo

 By Sajo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad