Mwafrika wa Kwanza Kucheza Mziki na Malkia Elizabeth...


Kwame Nkrumah, Rais wa Ghana alikuwa mtu wa kwanza Mweusi kucheza Muziki na Malkia Elizabeth huko Accra 1961. Tukio hili lilizua mjadala Mkubwa Ulimwenguni kote hasa nchi za Ulaya ambapo Ubaguzi wa rangi ulikuwa Umepamba moto.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad