Mwakinyo afunguka baada ya kusambaa kwa sauti inayodaiwa ya Haji Manara kumponda ‘sitakujibu’


Septemba 3, 2022 Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo alipoteza pambano dhidi ya Bondia Muingereza Liam Smith kwa TKO round ya 4 katika pambano lenye round 12.


Mwakinyo alianza pambano vizuri na wakati likiendelea alionekana kuumia mguu kiasi cha Muamuzi kusimamisha pambano ambalo kabla ya round ya nne kumalizika Mwakinyo alionekana kapiga goti chini.

Baada ya pambano hilo kumalizika Mwakinyo alijirekodi video fupi ikiomuonesha akiomba radhi kwa Watanzania na kueleza sababu zilizofanya ashindwa kumkabili Muingereza Liam Smith ambapo alisema miongoni mwa vilivyofanya ashindwe pambano hilo ni kukosekana kwa viatu ambavyo alipaswa avae katika pambano hilo huku akidai kuwa begi lililokuwa limebeba viatu hivyo lilipotea Airport wakati akielekea katika pambano hilo.

Sasa mengi yamesemwa na miongoni yaliyoingia katika vichwa vya habari ni baada ya kusambaa kwa sauti inayodaiwa ya Haji Manara na inadhihirisha kuwa imemfikia Mwakinyo na hapa amefunguka haya bonyeza play kufahamu zaidi.

VIDEO:




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad