Necta Wafuta Ada ya Mtihani Kwa Shule Zote za Serikali Tanzania


Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetoa taarifa kwa Watu wote kuwa ada ya mtihani kwa Watahaniwa wa darasa la saba, kidato cha nne na sita wa Shule za Serikali imefutwa.

Wanaotakiwa kulipa ada ya mtihani ni Watahiniwa wa Shule binafasi tu.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad