Nyimbo Kali za Bongo Flava Kwa Mwezi August 2022

 


1. Jay Melody - Nakupenda

Ni wimbo ambao umetoka July 20, lakini impact yake imekuwa kubwa zaidi kwa mwezi August, kama kuwa miingoni mwa nyimbo 100 zilizotafutwa zaidi duniani kwenye mtandao wa Shazam.


2. Country Wizzy ft Marioo - POA

Ni rap song yenye vibe mbili, kwanza hali ya chini, lakini pia inakuacha na vibe la level ya juu kwenye maisha, kiufupi lina pande mbili. Mbali na hilo, inafanya vizuri kwenye digital platforms kama kuingia kwenye U.K Playlist, n.k


3. Barnaba ft Marioo - Marry Me

Moja ya nyimbo kali zinazounda Love Sounds Different Album iliyotoka rasmi August 17, kwenye nyimbo 18 za Albamu hiyo, Unashika nafasi ya juu kusikilizwa zaidi kwenye digital platforms. Lakini pia unachezwa zaidi kwenye main stream.


4. Nandy x Oxlade - Napona

Nyimbo kali, inafanya poa Main streams na kwenye digital platforms pia.


5. Harmonize Ft Spice - Miss Bantu.

Melody, Lyrics🔥


6. Billnass ft Rayvanny - Utaonaje

Maudhui, Lyrics🔥


7. Phina (Saraphina) ft Otile Brown - Super Woman


8. Weusi - Bado hujabalehe


9. Barnaba ft Diamond - Hadithi


10. Dogo Janja - Mr. Kuweza & Young Killer - Super Nyota intro


Charts imetokana na impacts za nyimbo na reactions za mashabiki.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad