Paula Masanja "Aliyepewa Kapewa tu, Wewe Huna Haja ya Kuwa na Makasiriko"


Paula Kajala au Pau; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholaiti), mwanamitindo na mjasiriamali wa kuuza nguo ambaye anasema kuwa, anamshukuru Mungu kwa kila jambo linalotokea kwenye maisha yake.

Akizungumza Paula ambaye hivi karibuni alikwenda kula maisha huko Dubai, anasema kuwa, hakuna haja ya mtu kuwa na makasiriko anapomuona mwenzake amefanikiwa kwani kila mtu anapata riziki yake kutoka kwa Mungu.

“Aliyepewa kapewa tu, wewe huna haja ya kuwa na makasiriko kwani anayetoa ni mmoja tu; ni Mungu hivyo inategemea namna ulivyomuomba.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad