Rasmi Sasa Serikali ya Tanzania Yaondoa Ulazima wa Kuvaa Barakoa

 


Taarifa kutoka Wizara ya Afya imesema Serikali imeondoa ulazima wa kuvaa barakoa isipokuwa kwa wenye Magonjwa ya Mfumo wa Hewa na kwenye mikusanyiko ya ndani pale inapobidi


Hatua hii ni kutokana na kupungua kwa maambukizi ya Ugonjwa wa Corona Nchini na Duniani kote


Aidha, Takwimu za Wizara ya Afya zimeonesha kuwa tokea kutangazwa kwa uwepo wa #UVIKO19 nchini Machi 2020 hadi kufikia Septemba 7, 2022, Watu 35,747 walithibitishwa kuugua huku kukiwa na vifo 808

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad