Rayvanny Baada ya Miaka Mingi Atangazwa Kushiriki Tamasha la Fiesta la Clouds FM Lijalo


Kontena la Anko Tajiri ambalo lilikua likiongelewa sana kupitia mawimbi ya CLOUDS MEDIA wiki iliyopita limefunguliwa rasmi usiku wa kuamkia leo Jijini Dar es salaam na Watanzania kushuhudia kilichomo ndani ambacho ni package ya Wasanii wataotumbuiza kwenye FIESTA 2022.

Mmoja wa Wasanii hao ni Mkali kutoka NLM @rayvanny ambaye hakusita kuongea kwa ufupi kuelezea furaha yake ya kuwepo kwenye package ya Uncle Tajiri 2022 na kuishukuru @CloudsFMTZ kwa kumpa nafasi hii ku-perform kwenye Tamasha hili kubwa ambalo mara ya mwisho kupata nafasi hii ilikua mwaka 2016.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad