Shaffih Dauda "Aziz K Anapashwa Atulie Kuna Kitu Anapashwa Kukipunguza Uwanjani"


Kama kuna kitu ambacho Aziz anapaswa kukipinguza basi ni mambo mengi mguuni, rudieni mechi ya jana mtagundua kuna nafasi kama mbili Fiston Mayele alimuanzisha kisha akafungua ila Aziz alikuwa na mawazo tofauti ambayo hayakuilipa Yanga.

Ni mchezaji mzuri sana ila nahisi amejipa presha ya kuproove kitu ni sahihi lakini aitazame timu zaidi kuna wakati jana aliinyima matokeo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad