Simba Kimenuka...Baada ya Kutoka Sare na KMC Mashabiki Waandamana Kumkataa Kocha Matola


Mashabiki wa Simba wameandamana nje ya Uwanja baada ya mechi kumalizika kwa sare ya 2-2 dhidi ya KMC huku wakiimba kuwa hawamtaki kocha msaidizi wa Mnyama Simba “Selemani Matola”

Nini maoni yako kuhusu hili?

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad