Simba Yatoa Dozi Nene Kwa Big Bullets ya Malawi, Yasonga Mbele Ligi ya Mabingwa




Simba imefanikiwa kusonga mbele katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuifunga Nyasa Big Bullets ya #Malawi Magoli 2-0 kwenye Uwanja wa Mkapa

Moses Phiri ndiye aliyefunga magoli yote dakika ya 29 na 50. Ushindi huo unamaanisha #Simba imesonga mbele kwa jumla ya Magoli 4-0 kutokana na ushindi ilioupata katika Mchezo wa kwanza

Mchezo ujao Simba inatarajiwa kukutana na Red Arrows ya Zambia au #Agosto ya Angola.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad