Tanzania kwenye orodha ya nchi zisizo na furaha Duniani



Tangu mwaka 2002, Ripoti ya Dunia ya Furaha imetumia uchanganuzi wa takwimu kubaini nchi zenye furaha zaidi duniani.

Katika sasisho lake la mwaka 2021, ripoti ilihitimisha kuwa Finland ndio nchi yenye furaha zaidi ulimwenguni.

Ili kubainisha nchi yenye furaha zaidi duniani, watafiti walichanganua data ya kina ya upigaji kura wa Gallup kutoka nchi 149 kwa miaka mitatu iliyopita, hasa kufuatilia utendaji kazi katika vipengere sita mahususi.


Vipengere hivyo ni; Pato la taifa kwa kila mtu, usaidizi wa kijamii, umri wa kuishi kiafya, uhuru wa kufanya maamuzi yako mwenyewe ya maisha, ukarimu wa watu kwa ujumla, na mitazamo ya viwango vya rushwa vya ndani na nje.

Kutokana na ripoti hiyo haya ndio mataifa 10 yasiyo na furaha duniani

Nchi zisizo na furaha zaidi duniani, kulingana na Ripoti ya World Happiness Report 2022.


1. Afghanistan

2. Lebanon

3. Zimbabwe

4. Rwanda

5. Botswana

6. Lesotho

7. Sierra Leone

8. Tanzania

9. Malawi

10. Zambia.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad