Tanzia: Malkia wa Uingereza Elizabeth II amefariki dunia


Tanzia: Malkia wa Uingereza Elizabeth II amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 96, baada ya kutawala kwa miaka 70. Kasiri la Buckingham limethibitisha kifo chake na kusema amefariki akiwa huko Balmoral.  

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad