Tetemeko Kuu la Ardhi China Lasababisha Watu kupotea, Waokoaji Wawatafuta




ZOEZI la kuendelea kuwaokoa watu nchini china linaendelea japokuwa kimbunga hicho kimeua watu wasiopungua 65 na wengine wengi kutoweka na kutokuonekana katika mkoa wa Sichuan kusini magharibi kutokana na janga hilo na wengine kujeruhuwa.

 

Siku ya juma nne waokowaji walitembelea vifusi vilivyo sababishwa na tetemeko hilo ilikuangalia manusura na wale waliopotea baada ya tetemeko ambalo liliitikisa majengo ambayo yalikuwa mbali na mji mkuu wa mkoa wa Chengdu.


Waokoaji na majeruhi China

Idara ya utabiri wa hali ya anga nchini imeonya kuwa Luding pia itakumbana na mvua kwa siku tatu, na hivyo kutatiza juhudi za uokoaji.

 

Imeandikwa: leocardia Charles kwa msaada wa mitandao.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad