Tucta Yaiomba Serikali Kuondoa Tozo za Miamala ya Kibenki




Rais wa Chama cha Wafanyakazi Nchini (TUCTA), Tumaini Nyamhokya, amesema msimamo wao ni kufutwa kwa #Tozo za Miamala ya Kibenki zinazowaathiri Wafanyakazi kwa kuwa wanalipa kodi (PAYE) na kukatwa tena Fedha zao wanapozichukua kutoka benki

Pia, ametoa wito kwa Serikali kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali kufikiria njia mbadala au vyanzo vingine vya Mapato

Amesema, “Serikali iziondoe kabisa kwasababu Wafanyakazi wanalipa PAYE, Wataalamu wetu kutoka Sekta mbalimbali wapo tayari kushirikiana na Serikali kutoa maoni ya maeneo ambapo yanaweza kukatwa Tozo hizo”

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad