Wanaharakati wa Mapenzi ya Jinsia Moja Wahukumiwa Adhabu ya Kifo



Iran imewahukumu adhabu ya kifo Wanaharakati wawili wa masuala ya mahusiano ya jinsia moja.

Mahakama katika mji wa Urmia imewakuta na hatia Zahra Seddiqi Hamedani (31) na Elham Choubdar (24).


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad