William Ruto Afunguka "Nitaheshimu Maamuzi ya Mahakama Kuhusu Matokeo ya Uchaguzi"

 


Wakati Mahakama ya Juu ikitarajiwa kutoa uamuzi wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu, leo Septemba 5, 2022 (Saa 6 Mchana) Rais Mteule, #WilliamRuto ameomba utulivu uendelee na kuwa yupo tayari kupokea matokeo yoyote ya kesi hiyo

-

Ushindi wake umepingwa na Mgombea Urais wa Azimio La Umoja One #Kenya, #RailaOdinga. Katika Uchaguzi huo, Ruto alishinda kwa kura 7,176,141 dhidi ya 6,942,930 za Odinga.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad