Wimbo wa Last Last wa Burna Boy Ndio Wimbo Pekee Kutoka Afrika Uliopata Gold Certified Marekani Kwa Haraka Zaidi


Last Last ya @burnaboygram inaendelea kujihidhirisha kuwa ni ngoma bora ya majira ya joto kwa mwaka 2022, hii leo imekuwa Gold Certified nchini Marekani ikiuza zaidi ya nakala laki 5. Wimbo huo ambao ulitoka May 13 mwaka huu, unakuwa ni wimbo wa kwanza tokea Afrika kuwa Gold certified kwa haraka zaidi nchini Marekani, ( miezi 3 na wiki 3, siku 4) lakini unakuwa ni wimbo wake wa 3 kufikia mafanikio hayo, baada ya YE na On the Low.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad