Yanga Vs TFF Kimenuka..Usajili wa Mchezaji Tuisila Kisinda Wafutwa


Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefuta usajili wa winga wa Klabu ya Young Africans, Tuisila Kisinda kwenye orodha ya wachezaji 12 wa kigeni watakaocheza msimu huu.

Kwa mujibu wa TFF, usajili huo umefutwa kutokana na Klabu ya Yanga kuchelewesha usajili wake.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad