Zari Hassan Adai Kiben Ten Wake Anataka Kumuoa Yupo Tayari Kuwaona Wazazi


Zari ameamua kuwapa makavu baadhi ya Waganda ambao hawapendezwi na mahusiano yake ya Shakib,

Zari anasema (kwa kiganda)

"Shakib aliniambia jana kuwa anataka kukutana na baba yangu. Anataka kutoa posa kwaajili ya ndoa, yuko tayari kunioa. Waliosema itaishia kwa machozi rudini kwa waganga wenu mkaombe warudishe hela, uchawi haukufanya kazi"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad